#Swahili Books

Diwani ya Kachenje

Diwani ya Kachenje

Mwajabu Ali Kachenje Possi

16 October 2026 · Kiswahili

Jahazi la ushairi la Mwajabu Ali Kachenje Possi lilianza safari yake zamani za utawala wa Waingereza katika shule ya kati ya wasichana ya Same. Likapita Korogwe na Machame, likafika Chang’ombe na Morogoro Sekondari ambako mtunzi, akiwa mwalimu wa Kiswahili,…

Mansura

Mansura

Issak Esmail Issak

2 March 2026 · Kiswahili

Mansura ni mwaliko wa safari ya kuelekea katika Hekaya za Wakae, wakaazi wa nchi ya dongo jekundu, iliyopo kusini mwa kisiwa cha Unguja, ambako ulikuwa ukiweza kufika kwa kupanda gari nambari 10. Ni usanifu wa ulimwengu uliojengeka katika fikra na mawazo…

A Meadow of Poppies -- Hadiqa ya Khashkhashi

A Meadow of Poppies -- Hadiqa ya Khashkhashi

Issak Esmail Issak

5 October 2025 · Kiswahili · English

Step back in time to the Zanzibar of the 1950s with this heartfelt collection of poems and stories by Issak Ismail Issak. A sequel to his beloved "My Grandpa's Garden," this volume continues to explore the cherished memories of a childhood spent with a…

Chozi langu litafutwa lini ?

Chozi langu litafutwa lini ?

Jane Davis

15 November 2024 · Kiswahili

Wasifu Jane D. Mwanizuwa Sabini (Jane Davis).Ni mwandishi chipukizi wa simulizi riwaya na tungo za kishairi. Alizaliwa tarehe 20 Januari mnamo mwaka 1995 huko wilaya ya Uyui mkoani Tabora. Alipata elimu ya msingi Igoko shule ya msingi na elimu ya upili…

Kununuliwa kwa Damu ya Yesu

Kununuliwa kwa Damu ya Yesu

Mtumishimama

11 September 2024 · Kiswahili

KUHUSU KITABU Katika kurasa za kitabu hiki, tutajifunza kuhusu maana ya fidia ya dhambi, umuhimu wa Damu ya Yesu, na jinsi tunavyoweza kuishi kulingana na thamani ya ukombozi alioutupa. Pia, tutachunguza jinsi Damu ya Yesu inavyotuletea ushindi, uhuru, na…

Baraza ya Majestic na Machinjioni kwa Bamkwe

Baraza ya Majestic na Machinjioni kwa Bamkwe

Ibrahim Mohammed Hussein

24 July 2024 · Kiswahili

Kwa lugha nyepesi ya Kiswahili fasaha, Kiunguja , Ibrahim Mohammed Hussein, anasimuliya kwa uwazi na ujasiri mkubwa, yale yaliyomsibu baada ya kuuwawa Rais wa Kwanza wa iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi,…

Usawiri wa Ualbino katika Fasihi ya Kiswahili

Usawiri wa Ualbino katika Fasihi ya Kiswahili

Elizabeth Godwin Mahenge

10 April 2024 · Kiswahili

Kitabu cha Usawiri wa ualbino katika fasihi ya Kiswahili kinachunguza changamoto zinazowakabili watu wenye ualbino nchini Tanzania, ambapo wanakabiliwa na athari za mionzi ya jua na matatizo ya kuona. Utafiti unaonesha umuhimu wa elimu katika kubadilisha…

Maisha Yangu Na Ninayoyakumbuka

Maisha Yangu Na Ninayoyakumbuka

Mohammed AbdulRahman

4 December 2023 · Kiswahili

Katika kitabu hiki, Mohammed AbdulRahman Mkufunzi anafanya tafkari ya safari ya zaidi ya miongo sita ya maisha yake, akielezea yale anayoyakumbuka, kwa kuyasikia kutoka kwa wazee, kuyaona kwa macho yake na kuyaishi tokea utotoni mwake hadi utuuzimani. Kitabu…

Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba

Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba

Kalisti Mjuni

15 March 2022 · Kiswahili

Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba ni kitabu kinachoeleza makosa ambayo tumekuwa tukiyafanya wakati wa kuomba yanayosababisha maombi yetu yasijibiwe na Mungu Baba. Pia, kinaeleza utofauti uliopo kati ya sala na maombi; na kina shuhuda za kweli za watu…

Maisha yangu, Khamis Abdulla Ameir

Maisha yangu, Khamis Abdulla Ameir

Khamis Abdulla Ameir

11 March 2022 · Kiswahili

MAISHA YANGU: KHAINI AU MUHANGA WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ni kitabu kinachoeleza historia ya Zanzibar ya hivi karibuni na vipi Muungano baina ya Zanzibar na Tanganyika ulivyoanzishwa hadi kuwepo taifa jipya la TANZANIA. Khamis Abdulla Ameir amejaribu kwa kadri…

Bikira Maria Mama wa Yesu Kristo

Bikira Maria Mama wa Yesu Kristo

Kalisti Mjuni

22 December 2021 · Kiswahili

Bikira Maria Mama wa Yesu Kristo ni kitabu kinachohusu historia ya Mama Bikira Maria ikianza na maandalizi ya kuzaliwa kwake; maisha yake baada ya kuzaliwa; kuchaguliwa kwake na Mungu Baba kuwa Mama wa Mkombozi kupitia ujumbe wa malaika Gabrieli; jinsi…