#Riwaya

Also: Novel

Mansura

Mansura

Issak Esmail Issak

2 March 2026 · Kiswahili

Mansura ni mwaliko wa safari ya kuelekea katika Hekaya za Wakae, wakaazi wa nchi ya dongo jekundu, iliyopo kusini mwa kisiwa cha Unguja, ambako ulikuwa ukiweza kufika kwa kupanda gari nambari 10. Ni usanifu wa ulimwengu uliojengeka katika fikra na mawazo…

Chozi langu litafutwa lini ?

Chozi langu litafutwa lini ?

Jane Davis

15 November 2024 · Kiswahili

Wasifu Jane D. Mwanizuwa Sabini (Jane Davis).Ni mwandishi chipukizi wa simulizi riwaya na tungo za kishairi. Alizaliwa tarehe 20 Januari mnamo mwaka 1995 huko wilaya ya Uyui mkoani Tabora. Alipata elimu ya msingi Igoko shule ya msingi na elimu ya upili…

Safari yangu

Safari yangu

Ali Hilal Ali

24 September 2021 · Kiswahili

SAFARI YANGU ni riwaya ya Kiswahili inayoyateka na kuyaakisi maisha ya vijana wengi wanaotamani kufanikiwa maishani kwa njia ya mkato. Mwandishi amejaribu kutumia ufundi wa lugha kwa kuimulika jamii yake na kuyaibua mambo yanayowasibu vijana wengi wa sasa.…

Mtu wa kazi

Mtu wa kazi

Suleiman A. Kijogoo

24 September 2021 · Kiswahili

Mapenzi huponya. Mapenzi huangamiza. Kuwa makini. G aka Ganzi, kijana katili muuaji asiye na chembe ya huruma, anadondokea katika penzi zito la msichana mrembo aitwae Tausi. Miezi mitatu kabla, kijana huyo alikuwa hahitaji kuwa na rafiki wala mpenzi,…