#Christianity

Kununuliwa kwa Damu ya Yesu

Kununuliwa kwa Damu ya Yesu

Mtumishimama

11 September 2024 · Kiswahili

KUHUSU KITABU Katika kurasa za kitabu hiki, tutajifunza kuhusu maana ya fidia ya dhambi, umuhimu wa Damu ya Yesu, na jinsi tunavyoweza kuishi kulingana na thamani ya ukombozi alioutupa. Pia, tutachunguza jinsi Damu ya Yesu inavyotuletea ushindi, uhuru, na…

Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba

Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba

Kalisti Mjuni

15 March 2022 · Kiswahili

Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba ni kitabu kinachoeleza makosa ambayo tumekuwa tukiyafanya wakati wa kuomba yanayosababisha maombi yetu yasijibiwe na Mungu Baba. Pia, kinaeleza utofauti uliopo kati ya sala na maombi; na kina shuhuda za kweli za watu…

Bikira Maria Mama wa Yesu Kristo

Bikira Maria Mama wa Yesu Kristo

Kalisti Mjuni

22 December 2021 · Kiswahili

Bikira Maria Mama wa Yesu Kristo ni kitabu kinachohusu historia ya Mama Bikira Maria ikianza na maandalizi ya kuzaliwa kwake; maisha yake baada ya kuzaliwa; kuchaguliwa kwake na Mungu Baba kuwa Mama wa Mkombozi kupitia ujumbe wa malaika Gabrieli; jinsi…

Maisha ni kugharimia (2014): The second edition of Mathias E. Mnyampala's autobiography, released for school use. It was first published posthumously in 2013, based on a manuscript from 1968–1969.

Maisha ni kugharimia (2014): The second edition of Mathias E. Mnyampala's autobiography, released for school use. It was first published posthumously in 2013, based on a manuscript from 1968–1969.

Mathias E. Mnyampala

24 September 2021 · Kiswahili

Marehemu Mathias E. Mnyampala (1917–1969) alikuwa mwanasheria, mwandishi, na mshairi mashuhuri wa Tanzania aliyeandika kwa lugha ya Kiswahili. Mswada wa tawasifu yake uliandikwa kati ya mwaka 1968 na 1969, punde kabla ya kifo chake. Kazi hii, ambayo haikuwa…