Catalogue

Uandishi katika Kiswahili

Uandishi katika Kiswahili

Elizabeth Godwin Mahenge

24 September 2021 · Kiswahili

Kitabu hiki cha Uandishi katika Kiswahili kinamwelimisha mwanafunzi wa uandishi namna bora ya kuandika kazi yake. Kazi mbalimbali za kiutungaji zimegusiwa ikiwa ni pamoja na insha, hotuba, risala, na utungaji. Mwandishi anaelezea hatua mbalimbali za kutunga…

Common mistakes in Kiswahili

Common mistakes in Kiswahili

Elizabeth Godwin Mahenge

24 September 2021 · Kiswahili · English

Common Mistakes in Swahili is a grammar book specifically for second language users. It gives you the a, b, c, d's of Swahili language. It goes further by explaining grammatical stuffs that are important in learning Swahili language. It gives common mistakes…

Kiswahili kwa wageni. Kiongozi cha mwalimu

Kiswahili kwa wageni. Kiongozi cha mwalimu

Elizabeth Godwin Mahenge

24 September 2021 · Kiswahili

Kitabu hiki cha kiongozi cha mwalimu, kimekusudia kuwa mwongozo kwa ajili ya kuwafundisha wageni. Kitabu kinamwelekeza mwalimu namna ya kumfundisha mwanafunzi wa kiwango cha kwanza, cha pili, na cha tatu. Katika kila hatua ya kumfundisha mwanafunzi lugha ya…

Andamo. Diwani ya Mohammed Ghassani

Andamo. Diwani ya Mohammed Ghassani

Mohammed Khelef Ghassani

24 September 2021 · Kiswahili

Andamo ni diwani ya tungo za ushairi zilizoandikwa na Mohammed Ghassani kwa muongo mmoja kuanzia miaka ya mwanzoni ya 1990 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000. Ni tungo zinazoogelea pamoja naye kwenye bahari ya uzoefu wa mwanzo wa ujana kuelezea hadithi yake ya…

CyberSecurity in Tanzania

CyberSecurity in Tanzania

Asherry Magalla

24 September 2021 · English

This cyber Law book determines the position of cyber security, prevention and detection in Tanzania against cyber crimes. Actually, by looking at the Cyber Crime Act No.14 of 2015 on how the concepts above have been provided and implemented. Cet essai…

Nukuu za Nyakati Zetu

Nukuu za Nyakati Zetu

Enock Maregesi

24 September 2021 · Kiswahili

Kitabu cha Falsafa za Enock Maregesi: Nukuu za Nyakati Zetu ni mkusanyiko wa nukuu za Enock Maregesi, kila nukuu kuu na maana yake, kila siku na nukuu yake kwa mwaka mzima. Ni mkusanyiko wa nukuu kuu 365 zenye kuleta hamasa na msukumo wa mafanikio katika…

Safari yangu

Safari yangu

Ali Hilal Ali

24 September 2021 · Kiswahili

SAFARI YANGU ni riwaya ya Kiswahili inayoyateka na kuyaakisi maisha ya vijana wengi wanaotamani kufanikiwa maishani kwa njia ya mkato. Mwandishi amejaribu kutumia ufundi wa lugha kwa kuimulika jamii yake na kuyaibua mambo yanayowasibu vijana wengi wa sasa.…

Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

Hashil Seif Hashil

24 September 2021 · Kiswahili

Hashil Seif Hashil alizaliwa kwenye ngarawa katika maji ya bahari ya Pemba Januari 12, 1938. Alisoma skuli ya msingi ya Mkwajuni na baadaye katika iliyokuwa Seyyid Khalifa Secondary Technical School, Beit-el-Ras, Unguja. Alikuwa ni mmoja wa vijana wafuasi wa…

Mtu wa kazi

Mtu wa kazi

Suleiman A. Kijogoo

24 September 2021 · Kiswahili

Mapenzi huponya. Mapenzi huangamiza. Kuwa makini. G aka Ganzi, kijana katili muuaji asiye na chembe ya huruma, anadondokea katika penzi zito la msichana mrembo aitwae Tausi. Miezi mitatu kabla, kijana huyo alikuwa hahitaji kuwa na rafiki wala mpenzi,…

Shuwari

Shuwari

Haji Gora Haji

24 September 2021 · Kiswahili · English

Haji Gora Haji, born in 1933 on the island of Tumbatu, Zanzibar, represents a living archive of poetic and philosophical knowledge, which is transformed into verses with a characteristic voice enriched by dialectal features (from Tumbatu and Unguja). As a…